ABC UPPER CLASS || DAR ES SALAAM TO SINGIDA || BOOKING [OFFICE] & CONTACT

ABC UPPER CLASS || DAR ES SALAAM TO SINGIDA ||

ABC UPPER CLASS || DAR ES SALAAM TO SINGIDA ||

ABC UPPER CLASS || DAR ES SALAAM TO SINGIDA ||
ABC UPPER CLASS || DAR ES SALAAM TO SINGIDA.






 ABC UPPER CLASS ||DAR ES SALAAM TO SINGIDA|| KILA SIKU.
Abc Upper Calass.Ni kampuni ya usafirishaji ambayo imedumu na kuendelea kutoa huduma zake kwa kipindi cha takribani muongo mmoja na miaka kadhaa.
Na imedhidi kutanua wigo na uboreshaji wa huduma zake kila siku.
Kutokana na matakwa ya wateja na mabadiliko ya teknolojia inavyozidi kukua.
Kwa maana hapo kabla ilikua ikitumia mabasi ya daraja lakawaida ambayo yalijkua niSCANIA MARCOPOLO lakini.Mbaka hivi sasa wanatumia mabasi ya kichina ambayo ni luxury nayo pia ni YUYONG,na HIGGER

ABC UPPER CLASS|| SAFARI ZAKE NA MAWASILIANO||
Dar es salaam             Singida 
Dar es salaam             Dodoma
 
 
MAWASILIANO MAPYA YA ABC UPPER CLASS 
 

17 comments:

Unknown said...

Mpo vizuri Sana na huduma zenu mpo juu Sana

Unknown said...

Habarii

Unknown said...

ABC POKEENI SIMU. 0754-963160 MBONA HAIPOKELEWI????

Anonymous said...

usafr wakwend dodom

Anonymous said...

0754608899

Anonymous said...

Pokeeni simu tafadhali kuboresha huduma

Anonymous said...

Simu mbona hazipokelewi?meziweka za nin

Anonymous said...

Sorry jmn mbon hizi namba hazipokelew

Anonymous said...

ABC POKEENI SIMU

Anonymous said...

Habari, kama kuna namba nyengine tafauti na hii wekeni, mana hii haipokelewi

Tibery Denis said...

Dar iringa nauli sh ngap?

Anonymous said...

Habari

Anonymous said...

Hapo tyu ndo wanafer

Anonymous said...

Kwakel mnahuduma mbaya kwenye kupokea sim ukilinganisha na kampun zingne

Anonymous said...

Nataman kutamka maneno makali LAKINI NISEME mnatukwaza huduma yenu ni mbaya mno

Anonymous said...

Habari za asubuhi ni kweli pana shida ya mawasiliano, wahusika ongezeni namba za huduma za wateja ama za mikoa yote muunganishe ili mteja asikilizwe na yeyote na kuhudumiwa. Dunia hii ni kazi Mtandao sio kizamani makaratasi na simu.

Anonymous said...

What is your bus fare from Dar to Singida?

Post a Comment