MACHAME INVESTMENT BUS || DODOMA TO MOSHI || |
MACHAME INVESTMENT BUS || DODOMA TO MOSHI || BOOKING OFFICE AND CONTACT
Kampuni ya mabasiya Machame Investment ilianza miaka minghi iliyo pita ikifanyia shughuli zake ndani ya mji wa Dodoma kama kampuni ndogo iliyo kua ikifanya shughuli zote ndani ya mkoa huo huo bila kutoka.
Lakini miaka ilivyozidi kwenda kampuni imezidi kukua na kufikia kutanua wigo wago wake wa biashara na kutoka nje ya mkoa huo wa Dodoma na kwenda mikoa mingine.
Pia wakti kampuni ya Machame inaanza ilikua ina mabasi ya kawaida ambayo mengi yalikua ni ya muundo wa Scania Marcopolo.
Lakini sasa kampuni inamiliki mabasi mengi kutoka china yenye muundo wa Yutong Buses
Ambayo yanatoa huduma kama Music,video,full AC system,wi fe.
SAFARI ZA MACHAME INVESTMENT TANZANIA
Dodoma Dar es salaam
Dodoma Moshi via Arusha
Dodoma Manyara
Kondoa Dar es salaam
7 Comments
Contact za machame vp?
ReplyDeletei want to book online.. how is fare from dom to arusha
ReplyDeleteBus travel information is useful for travelers https://traveltipsam.blogspot.com/
ReplyDeleteMbn online ticket hatuzioni
ReplyDeleteNaomba number za simu za hapa Dar es salaam za Meaning nice kwenda Lushoto
ReplyDeleteHi i need to travel to Moshi from dodoma can i have contacts of your agent in dodoma
ReplyDeleteThanks and I have a swell give: What House Renovations Can You Claim On Tax house renovation london
ReplyDelete