KISESA EXPRESS BUS SERVICES |
KISESA EXPRESS BUS SERVICES || DAR ES SALAAM TO M WANZA || BOOKING OFFICE [CONTACT].
Kampuni ya mabasi ya kisesa ni kampuni ya ndani ya nchi ambayo inaunganisha
sehemu mbili kua pamoja nazo ni Jiji la Dar es salaam na Mwanza.
Kampuni ya mabasi ya Kisesa Bus Service ni kampuni ambayon inasambaza huduma zake kwa mabasi bora na ni ya viwango vya hali ya juu.
Kampuni ya Kisesa inatumia Mabasi bora ya Zhongtong Bus ambayo ni mabasi yanayotengenezwa nchini China.
SAFARI ZA KISESA EXPRESS
Mwanza Dar es salaam.
OFISI NA MWASILIANO
P.O. Box 306, Mwanza
+255 (28) 2542572
+255 (28) 2542572
P.O. Box 95888
Dar es Salaam, Tanzania
0767 812 351
Dar es Salaam, Tanzania
0767 812 351
0 Comments