DAR LUX ||DAR ES SALAAM TO ARUSHA|| BOOKING OFFICE [CONT]

DAR LUX

DAR LUX

DAR LUX

DAR LUX

DAR LUX
DAR LUX ||DAR ES SALAAM TO ARUSHA ||
DAR LUX ||DAR ES SALAAM TO ARUSHA|| BOOKING OFFICE [CONT]

Kama ulikua ukitafuta kampuni bora ya mabasi ambayo ingeweza kufanikisha safari zako za 
Dar es salaam kwenda Moshi au Arusha sasa ufumbuzi umepatikana.
Kampuni ya dar lux ni kiampuni bora ya mabasi ambayo imekua ikifanya safari zake kwa takribani 
miaka mingi na ni wazohefu kwa kile wanacho kifanya.
Hii ni miongoni mwa kampuni inayo toa huduma bora kwa wateja wake.
Na imekua ikitumia mabasi bora ambayo mengi yakiwa ni na daraja la kati na daraja la juu yaani ni
Semi Luutry, Luxury ambayo ni mabasi yaliyo vumbuliwa nchini China yanayo julikana kama HIGGER BUS

Post a Comment

1 Comments

  1. Siti zenu mbaya nauli iko juu,yaan mnakosea sana.Zina bana magoti seat tunashindwa kukaa kwa raha

    ReplyDelete