AL SAEDY HIGH CLASS BUS || IFAKARA TO DAR ES SALAAM || |
AL SAEDY HIGH CLASS BUS:
Hii ni miongoni mwa kampuni kubwa ya mabasi Tanzania ambayo imeweka makao yake makuu mkoani Morogoro.
Al Saedy High class Pi kampuni hii imeweza kutoa huduma ndani ya miaka zaidi ya kumi.
Hapo awali ilikua ikitoa huduma na mabasi ya daraja la kawaida ambayo yalikua mabasi
makubwa na madogo.Lakini hivi sasa mabadiliko yanaonekana kwa maana kampuni hiyo imekua ikitumia MAbasi ya madaraja ya juu ambayo yanatoka china kwa muonekano wa kisasa zaidi.
Abayo ni YUTONG na GOLDEN DRAGON ambazo zote ni madaraja ya Semi Luxury,Luxury,pia na Odinary
SAFARI ZA AL SAEDY
Dar es salaam - Morogoro
Dar es salaam - Dodoma
Dar es salaam - Kilosa
Dar es salaam - Ifakara
MAWWASILIANO NA OFISI
Morogoro Road, Dar es Salaam, Tanzania
+255-715-939310
0 Comments