NGORIKA BUS TRANSPORT || DAR ES SALAAM TO ARUSHA Via MOSHI || BOOKING OFFICE [ TICKETS ] |
Kampuni ya usafirishaji abiria kwanjia ya mabasi NGORIKA BUS TRANSPORT
hii ni sehemu ya moja ya makampuni kongwe nchini Tanzania kwa kutoa huduma
takribani miaka 40 kwa maana tangu henzi ya miaka ya 1970 walishaanza kutoa huduma.
Kampuni hii ilikua ikitumia mabasi ya kizamani hapo awali ambayo yalikua ni mabasi ya aina ya
SCANIA ambayo ni mabasi ya daraja la kawaida (Ordinary Bus).
Lakini kutokana na kuboresha huduma zao wakaanza kuwekeza au kunua mabasi bora kutonka nchini China ambayo ni mabasi ya YUTONG yenye madaraja ya kati ( Semi Luxury ).
SAFARI ZA NGORIKA BUS TRANSPORT
Dar es salaam - Arusha via Chalinze & Moshi
Tanga - Arusha via Moshi
Tanga - Singida via Moshi & Arusha
OFISI NA MAWASILIANO.
NGORIKA BUS TRANSPORT CO. LTD.
S.L.P 1341, Kilimanjaro
+255 (27) 2757786 / +255 (27) 2752736
Mtaa namba 11,Barabara ya taifa, Tanga , Tanzania
+255-713-256888
S.L.P 1341, Kilimanjaro
+255 (27) 2757786 / +255 (27) 2752736
Mtaa namba 11,Barabara ya taifa, Tanga , Tanzania
+255-713-256888
0 Comments