ABC UPPER CLASS || DAR ES SALAAM TO SINGIDA. |
ABC UPPER CLASS ||DAR ES SALAAM TO SINGIDA|| KILA SIKU.
Abc Upper Calass.Ni kampuni ya usafirishaji ambayo imedumu na kuendelea kutoa huduma zake kwa kipindi cha takribani muongo mmoja na miaka kadhaa.
Na imedhidi kutanua wigo na uboreshaji wa huduma zake kila siku.
Kutokana na matakwa ya wateja na mabadiliko ya teknolojia inavyozidi kukua.
Kwa maana hapo kabla ilikua ikitumia mabasi ya daraja lakawaida ambayo yalijkua niSCANIA MARCOPOLO lakini.Mbaka hivi sasa wanatumia mabasi ya kichina ambayo ni luxury nayo pia ni YUYONG,na HIGGER
ABC UPPER CLASS|| SAFARI ZAKE NA MAWASILIANO||
Dar es salaam Singida
Dar es salaam Dodoma
Dar Es Salaam
0754-963160
Dar Es Salaam
0754-963160
17 Comments
Mpo vizuri Sana na huduma zenu mpo juu Sana
ReplyDeleteHabarii
ReplyDeleteABC POKEENI SIMU. 0754-963160 MBONA HAIPOKELEWI????
ReplyDeleteusafr wakwend dodom
DeleteHapo tyu ndo wanafer
Delete0754608899
ReplyDeletePokeeni simu tafadhali kuboresha huduma
ReplyDeleteSimu mbona hazipokelewi?meziweka za nin
ReplyDeleteSorry jmn mbon hizi namba hazipokelew
ReplyDeleteABC POKEENI SIMU
ReplyDeleteHabari, kama kuna namba nyengine tafauti na hii wekeni, mana hii haipokelewi
ReplyDeleteDar iringa nauli sh ngap?
ReplyDeleteHabari
ReplyDeleteKwakel mnahuduma mbaya kwenye kupokea sim ukilinganisha na kampun zingne
ReplyDeleteNataman kutamka maneno makali LAKINI NISEME mnatukwaza huduma yenu ni mbaya mno
ReplyDeleteHabari za asubuhi ni kweli pana shida ya mawasiliano, wahusika ongezeni namba za huduma za wateja ama za mikoa yote muunganishe ili mteja asikilizwe na yeyote na kuhudumiwa. Dunia hii ni kazi Mtandao sio kizamani makaratasi na simu.
ReplyDeleteWhat is your bus fare from Dar to Singida?
ReplyDelete