ABC UPPER CLASS || DAR ES SALAAM TO SINGIDA ||

ABC UPPER CLASS || DAR ES SALAAM TO SINGIDA ||

ABC UPPER CLASS || DAR ES SALAAM TO SINGIDA ||
ABC UPPER CLASS || DAR ES SALAAM TO SINGIDA.






 ABC UPPER CLASS ||DAR ES SALAAM TO SINGIDA|| KILA SIKU.
Abc Upper Calass.Ni kampuni ya usafirishaji ambayo imedumu na kuendelea kutoa huduma zake kwa kipindi cha takribani muongo mmoja na miaka kadhaa.
Na imedhidi kutanua wigo na uboreshaji wa huduma zake kila siku.
Kutokana na matakwa ya wateja na mabadiliko ya teknolojia inavyozidi kukua.
Kwa maana hapo kabla ilikua ikitumia mabasi ya daraja lakawaida ambayo yalijkua niSCANIA MARCOPOLO lakini.Mbaka hivi sasa wanatumia mabasi ya kichina ambayo ni luxury nayo pia ni YUYONG,na HIGGER

ABC UPPER CLASS|| SAFARI ZAKE NA MAWASILIANO||
Dar es salaam             Singida 
Dar es salaam             Dodoma
 
 
MAWASILIANO MAPYA YA ABC UPPER CLASS