KIDIA ONE EXPRESS || DAR ES SALAAM TO ARUSHA VIA MOSHI || BOOKING OFFICE [ CONTACT] |
Kampuni ya Kidia One ni kampuni ambayo imesajiliwa nchini tanzania kama kampuni ya kusafirisha abiria kwa njia ya mabasi.
Ambayo utoa huduma kama kukodisha kwa watalii au shughuli mbalimbali za kijamii tena kwa gharama nafuu.
Pamoja na kuwajali wateja waoKampuni ya mabasi ya Kidia One imekua ikitumia mabasi bora yanayo endana na Teknolojia ya sasa ambayo ni mabasi Luxury na Semi Luxury mabasi hayo yote kutoka china ni mabasi ya haina ya YUTONG na ZHONGTON BUSES.
Ambazo mabasi haina zote hizo zinakuja kwa muonekano wa kisasa na pia kutoa huduma kama
Kuchaji simu , kiyoyoyzi ,( A/C) Luninga (TV) zaidi ya moja nk.
Pia hutoa huduma nyingine nyingi kwa wateja wao mbaka wanapofika mwisho wa safari zao.
SAFARI ZA KIDIA ONE EXPRESS.
Dar es salaam - Arusha via Moshi
Dar es salaam - Mwanza via Morogoro
Dar es salaam - Kigoma
Dar es salaam - Babati
OFISI ZA KIDIA ONE EXPRESS
Kituo cha Mafuta cha Oilcom, Ubungo,Ghorofa ya kwanza
S.L.P 12981
Dar es salaam
simu: 0714583373 or 0754050358 or 0713958666 au 0757575740
info@kidiaone.co.tz
Dar es Salaam Basi Stendi Ofisi
Ubungo Basi Stendi Ofisi Chumba na. 25
Dar es Salaam
simu: 0714583373 au 0754050358 or 0713958666 au 0757575740
Moshi Basi Stendi Ofisi
simu: 0757575785
S.L.P 12981
Dar es salaam
simu: 0714583373 or 0754050358 or 0713958666 au 0757575740
info@kidiaone.co.tz
Dar es Salaam Basi Stendi Ofisi
Ubungo Basi Stendi Ofisi Chumba na. 25
Dar es Salaam
simu: 0714583373 au 0754050358 or 0713958666 au 0757575740
Moshi Basi Stendi Ofisi
simu: 0757575785
Arusha Basi Stendi Ofisi
simu: 0757575786
Morogoro Basi Stendi Ofisi
simu: 0765791097
Kigoma
1 Comments
Pata virutubisholishe vizuri kwa afya vinatibu magonjwa yote kama cancer,presha,kisukari,,tezidume,bawasiri,uvimbe bila. Upasuaji wasiliana nasi 0710908726
ReplyDelete