TASHRIFF LUXURY COACH |
TASHRIFF LUXURY COACH || TANGA TO IFAKARA|| 6:00 AM HASUBUHI KILA SIKU.
Kwa mahitaji ya usafiri wa kutoka/kwenda Ifakara au Tanga ufumbuzi umepatika.
Kampuni ya mabasi ya TASHRIFF LUXURY COACH imeanza ruti mnamo tarehe 6/8/2018.Huduma zao ni za uhakika na ni salama kwa wateja aina zote.
Pia wanatumia gari za kisasa kama zinavyo oneka hapo kwenye picha ni
Golden Dragon bus,Yutong bus.
TASHRIFF LUXURY COACH RUTI.
Tanga Dar es salaam
Tanga Arusha via Moshi
Tanga Dodoma via Morogoro
Tanga Mtwara via Dar es salaa
Dar es salaam Singida
OFISI ZETU&MAWASWILIANO
Barabara ya Gofu Chini , Tanga, Tanzania
+255-715-800821
+255-715-800821
1 Comments
Basi lenu lunalokwenda masasi kwa sasa mlibadilishe,linasumbua abiria kwa kuharibika mara kwa mara,wiki mbili zilizopita nilimsafirisha mdogo wangu gari liliharibika mkuranga,na hamkuchukua hatua yeyote ya kuagiza gari ingine hadi mlipoitengeneza saa 1 jioni,na watu walisafili usiku,Leo nimemsafirisha mwanangu hadi sasa hajafika masasi,Gari imeharibika lini sijui mmechukua hatua gani,mtafute gari yenye ubora mnatukaraisha kwa sasa
ReplyDelete